Rais Magufuli apokea orodha ya wahujumu uchumi waliokiri makosa yao

Rais Dkt John Magufuli, leo Septemba, anapokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment