Rais Magufuli – Sikutoi utaendelea kuwa Waziri Mkuu, wanaochonga wachonge sana

“Waziri Mkuu Hongera sana unanisaidia sana kazi, wengine wanaweza sema nakupa kichwa ila ukweli ni huo na una kichwa kizuri, unafanya napumzika nikikutuma sehemu unafanya kazi, kwahiyo wanaochonga wachonge sana wanaonuna wanune ila sikutoi utaendelea kuwa Waziri Mkuu”-JPMcredit:Bongo5
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment