Aunty Ezekiel achoshwa na watu wanaomponda Wema kujikondesha

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Aunty Ezekiel ameshangazwa na mashabiki wa Wema Sepetu kwa kumshambulia mrembo huyo baada ya kupunguza mwili wake.


Akiongea na Bongo5, Aunty amesema kuwa mwanzoni watu hao wanaoponda walikuwa wanamuita Nyumbu kutokana na muonekano wake sasa hivi kajikondesha wanamponda tena.

Kwa upande mwingine, Aunty amesema kuwa kwa sasa anatamani sana aongeze mtoto  mwingine na mpenzi wake mpya, Hii ni baada ya kuachana na mzazi mwenzie densa, Mose Iyobo
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment