Majina ya wagombea ngazi ya kanda kwa chama cha CHADEMA yatolewa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza wagombea mbalimbali wa uchaguzi ndani ya chama hicho ngazi ya kanda ambao wameteuliwa kwenye kikao cha Kamati Kuu cha Novemba 23, 2019 ambapo mwanasiasa mkongwe, Lazaro Nyalandu, amepitishwa kugombea uenyekiti wa kanda ya kati akichuana na Alphonce Mbassa.


Nafasi hizo za walioteuliwa ni mwenyekiti wa kanda, makamu mwenyekiti na mweka hazina ambapo chama hicho kinatarajiwa kufanya uchaguzi mkuu Desemba 18, mwaka huu.
Uteuzi Wagombea Kanda (CHADEMA )
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.